MY FAMILY

MY FAMILY
MY BELOVED ONE

karibu sana


Welcome To Gideon Kifwete blog ** Email: gideyoh@gmail.com .... To visit my Blog, go to ....www.gidyne.blogspot.com.....

I TRUST IN GOD

Friday, 3 June 2016

NEW VINE CHURCH PRAISE TEAM,MWANZA.

Karibu kwenye muendelezo wa makala inayoeleza kuhusina na kikundi cha kusifu na cha kuabudu cha NVC kilichopo nyegezi karibu na hoteli ya TEMA mkoani Mwanza.Kikundi hiki ni kati ya vikundi bora vilivyomo mkoani MWANZA katika huduma ya kusifu na kuabudu.Kikundi hiki kinaundwa na viongozi wafuatao Music Director(MD) LUGANO, Voice Coacher (VC)Ester,Proff Mafie,Pastor Jema.Kwa pamoja wakishirikiana pamoja na waimbaji wengine na wapigaji wamefanya kikundi hiki kufanya vitu vikubwa na vya ajabu katika huduma hii ya kusifu na kumuabudu YESU KRISTO. Wamekuwa wakifanya mambo yao kwa ushirikiano mkubwa na kwa ufanisi wakihakikisha wanamuimbia Mungu kwa viwango vya juu kwa sababu anastahili sifa hizo.
Kila Jambo wanalolifanya wamekuwa wakilifanya lakin wakizingatia sana viwango (STANDARD).Viwango vyao vimekuwa vikipanda kila siku iitwayo leo kwa jinsi walivyokuwa na shauku ya kumuimbia Mungu katika viwango hivyo.Nini kimewafanya wawe na hamu na shauku hiyo fuatilia makala ijayo.

1 comment: