Kwa jina naitwa Gideon Kifwete ni mwanafunzi wa mwaka wa Tatu katika chuo kikuu CHA ST john kilichopo Dodoma.nikisomea maswala ya elimu na uongoz wa biashara,yaani BBA WITH EDUCATION.Nimeokoka nampenda Yesu, nilibatizwa mwaka 30/11/2008 katika kanisa la REVIVAL ELIM PENTECOST CHURCH lililopo jijin Tanga.Ni mzaliwa wa mkoa wa TANGA pia ,kwakabila ni MSAMBAA wa LUSHOTO.Ni mzaliwa wa kwanza katika familia yetu yenye watoto wa nne mm nikiwa wa kwanza pamoja na pacha wangu na wadogo zetu wa wili.pacha anaitwa
No comments:
Post a Comment