MY FAMILY

MY FAMILY
MY BELOVED ONE

karibu sana


Welcome To Gideon Kifwete blog ** Email: gideyoh@gmail.com .... To visit my Blog, go to ....www.gidyne.blogspot.com.....

I TRUST IN GOD

Thursday, 16 June 2016

Basi la TAHMEED lapata ajali

Leo Bus la TAHMEED lililokuwa linatoka Tanga likielekea Dar es Salaam limeteketea lote na moto na abiria wote wamepona lakini mizingo na bus lenyewe vimeungua vyote. Mmoja wa shuhuda alisema gari hilo lilisimama baada ya mtu mmoja kuomba kwenda kuchimba dawa ndipo, abiria waliobaki kwenye gari waliianza kuhisi harufu na kuona moshi mwingi ukitoka ndani ya gari,ndipo walipoamua kushuka na kwenda kutazama.Ndipo walipogundua kuna moshi mkali ulikuwa ukitoka kwenye matairi ya gari na kisha moshi huo kusambaa kwenye tanki la mafuta na kusababisha moto kutokea .Gari lote liliteketea kwa moto hakuna mizigo iliyofanikwa kuokolewa kutoka kwenye moto huo.

No comments:

Post a Comment