MY FAMILY

MY FAMILY
MY BELOVED ONE

karibu sana


Welcome To Gideon Kifwete blog ** Email: gideyoh@gmail.com .... To visit my Blog, go to ....www.gidyne.blogspot.com.....

I TRUST IN GOD

Monday, 8 August 2016

Pastor Stephen Saninga awekwa wakfu kwa ajili ya vijana

Mchungaji Stephen Saninga wa kanisa la Elimu Pentekoste Tanga wiki iliyopita aliwekwa wakfu kwa ajili ya idara ya vijana wa makanisa ya Elimu Tanzania,Tukio hilo lilitokea katika Mkutano mkuu wa ELIM Pentekoste uliofanyika katika makao makuu ya nchi mjini DODOMA katika ukumbi wa CAVLAM.Mkutano huo ulihudhuriwa na wachumgaji mbalimbali kutoka Mikoa yote ya Tanzania yalio chini ya Kanisa la ELIM.Mkutano huo pia ulijadili mambo mbalimbali yahusuyo huduma ndani ya kanisa  hilo,Mambo yaliyo jadilwa pia ni kuhusu Nembo ya kanisa itakayo tumika.
ASKOFU MKUU (KONKI) WA KANISA LA ELIM PENTAKOSTE TANZANIA, AKIMUWEKEA MIKONO MCHUNGAJI STEPHEN SANINGA   KUMUWEKA  WAKFU KAMA KIONGOZI MCHUNGAJI WA IDARA YA VIJANA WA ELIM  PENTEKOSTE TANZANIA.






WACHUNGAJI WAKIWA KATIKA MAOMBI KATIKA MKUTANO HUO


i

No comments:

Post a Comment